Read more
Katika dunia ya leo ya kisasa, tunahitaji vifaa vya umeme vinavyotuwezesha kufanya mambo mengi kwa haraka na ufanisi. Tunakuletea vifaa vilivyochaguliwa maalum kwa ajili ya matumizi yako ya kila siku nyumbani au kazini.
🔊 1. Sabufa zenye sauti kali bila kuchaji mara kwa mara
✔️ Betri inayodumu hadi masaa 10
✔️ Inasaidia Bluetooth, AUX, na USB
💰 Bei: kuanzia TZS 45,000
📞 Wasiliana Nasi kwenye WhatsApp kwa maelezo zaidi na order.
🔈 2. Spika ndogo ya kubeba – Perfect kwa simu yako
✔️ Saizi ndogo, lakini sauti safi na kubwa
✔️ Betri ndogo inayodumu hadi masaa 5
💰 Bei: TZS 20,000
📦 Inafaa kwa safari na picnic
💡 3. Taa za kisasa – Mwanga mkali kwa bei ndogo
✔️ LED bulb zenye watt ndogo na mwanga mkali
✔️ Inatumia umeme mdogo – inaokoa gharama
💰 Bei: kuanzia TZS 30,000
🌙 Perfect kwa matumizi ya nyumbani au ofisi
🏠 4. Vifaa vya nyumbani vinavyotumia umeme mdogo
🔌 Blenda
🔌 Viyoyozi vya mini
🔌 Rice cookers & jugs
✔️ Vifaa hivi vimebuniwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida bila kutumia umeme mwingi.
💰 Bei: TZS 150,000 - TZS 800,000 (inategemea bidhaa)
📱 Maelezo ya Haraka na Oda:
👉 Tutumie ujumbe sasa kupitia WhatsApp:
<a href="https://wa.me/255688882895" target="_blank"><i class="fa fa-whatsapp"></i> Wasiliana Nasi Hapa</a>
🚚 Delivery inapatikana Dar es Salaam na mikoa mingine kwa makubaliano





.jpg)


0 Reviews